MATOKEO YA USAILI KADCO 20-01-2018

Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa ana kwa ana (Oral Interview) wanatakiwa kufika
katika ofisi za KADCO tarehe na muda kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la awali la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)

Bonyeza link hapo chini kuona matokeo:-

POST: MATOKEO YA USAILI KADCO 20-01-2018